Header Ads

Dk Elmi Dualle na Mkewe anti Ashura washerehekea sherehe zao kwa pamoja usiju huu ndani ya Escape One

 Dkt.Elmi na Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura wakiwa wameshikana mikonon kwa pamoja wakioneshana upendo na mapenzi teeele,usiku wa leo kwenye sherehe yao.
 Dkt.Elmi na Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura wakiwa katika picha ya kumbukumbu kabla ya tukio adhimu la kukata keki
 Dkt.Elmi akimlisha keki ya upendo na kwa madaha kabisa,Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura  jioni ya leo.

 Dkt.Elmi akikata keki tayari kwa kumlisha Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura na wegeni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye tafrija hiyo,kulia kwakwe ni Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo akiwa na MKewe Mariam Shamo.
 Anti Ashura akiwashukuru wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla ya Mumewe Dkt.Elmi aliyekuwa akitimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake ikiwemo na sambamba na kusherehekea miaka 20 ya ndoa yao.
 Keki ikiwa imeandaliwa saafi kabisa.
 Baadhi ya Wageni waalikwa wakijadiliana jambo kwenye hafla hiyo iliyofanyika ndani ya kiota kipya kabisa cha maraha,Escape One kilichopo nyuma ya Carnival,njia panda Makao makuu ya Red Cross,jijini Dar.
 Dkt.Elmi akiwa na Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura akiwa amepozi na Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo akiwa na MKewe Mariam Shamo.
  Baadhi ya Wageni waalikwa wakijadiliana jambo kwenye hafla hiyo iliyofanyika ndani ya kiota kipya kabisa cha maraha,Escape One kilichopo nyuma ya Carnival,njia panda Makao makuu ya Red Cross,jijini Dar
 Dkt.Elmi akiwa na Mkewe almaarufa kwa jina la Anti Ashura akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Bwa.Joseph Kusaga akiwa na Mkewe, CEO wa kampuni bingwa ya Burudani ya hapa nchini, Prime Time Promotions Ltd, Bi.Johayna Kusaga
 Dkt.Elmi na Mkewe almaarufu kwa jina la Anti Ashura wakiwa picha ya pamoja ya ndugu jamaa na marafiki kwenye hafla hiyo iliofanyika usiku wa leo  ndani ya kiota kipya kabisa cha maraha,Escape One kilichopo nyuma ya Carnival,njia panda Makao makuu ya Red Cross,jijini Dar.
Anti Ashura na Wanae katika picha ya pamoja.

No comments

Powered by Blogger.