Header Ads

DAYNA NYANGE, IZZO B, PNC WANUSURIKA KUFA KWA AJALI MKOANI MWANZA.

 Gari iliyopata ajali.
  Wasanii wa  tasnia ya mziki wa bongo Fleva, Dayna Nyange, PNC, Izzo B na wasanii wengine, leo wamenusurika kufya kufwatia gari waliyokuwa wakisafilia kupata ajali maeneo ya Buhongwa Mwanza, kwa mujibu wa msanii Dayana Nyange amesema, walikuwa wakitojkea kwenye show Geita iliyoandaliwa na Radio Free Africa ndipo walipofika maeneo ya Buhongwa gari yao aina ya Coasta, kapata ajali na msanii Filbert Kabago, amejeruhiwa.

No comments

Powered by Blogger.