Header Ads

BALOTELLI AKOSA PENALTI YA KWANZA MAISHANI AC MILAN IKILALA 2-1 NA KULIMWA 'RED' JUU

MSHAMBULIAJI Mario Balotelli amekosa penalti kwa mara ya kwanza maishani mwake wakati AC Milan ikilala 2-1 nyumbani katika mchezo wa Serie A dhidi ya vinara Napoli Jumapili hii.
 
Balotelli, ambaye amefunga penalti zake zote 21 za awali katika mechi rasmi, alishuhudia mkwaju wake ukiokolewa na kipa Pepe Reina dakika ya 60.
 
Hata hivyo, 'Supermario' aliifungia Milan dakika ya 90 na ushei kabla ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na kutolewa nje miwishoni mwa mchezo. Mabao ya Napoli yalifungwa na Britos dakika ya sita na HiguaĆ­n dakika ya 54 pasi ya Zuniga.
 
Seeing red: Mario Balotelli, left, is restrained by Milan team-mate Marco Amelia after being sent off
Nyekundu: Mario Balotelli, kuahoto akitulizwa na mchezaji mwenzake wa Milan, Marco Amelia baada ya kulimwa kadi nyekundu
AC Milan's forwards Mario Balotelli (2ndL) reacts after receiving a red card
AC Milan's forwards Mario Balotelli (2ndR) argues with the referee Luca Banti (3dL)
Kachaa Mario: Baloteli akibishana na refa Luca Banti
Missed: Mario Balotelli missed the first penalty of his career in the 2-0 defeat to Napoli
Anakosa: Mario Balotelli akikosa penalti
Combo breaker: Pepe Reina saved Balotelli's penalty, his first miss in 27 attempts
Kaokoa: Pepe Reina ameokoa penalti ya Balotelli
On target: Gonzalo Higuain scored again for his new club
Amefunga: Gonzalo Higuain ameifungia timu yake mpya
Doubled: Miguel Britos scores Napoli's second goal
La pili: Miguel Britos akiifungia Napoli bao la pili
Acrobatics: Balotelli attempts an overhead kick
Pigo takatifu: Balotelli akifunga kwa tik tak

No comments

Powered by Blogger.