Header Ads

WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA 2013 MKOANI KIGOMA WAZURU KABURI LA MAREHEMU ALBERT MANGWEA MAPEMA LEO MKOANI MOROGORO.

 Baadhi ya Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva ambao wanakwenda kutumbuiza kwenye tamasha la Fiesta 2013,linalorajiwa kufanyika Agosti 17,kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma a.k.a Mwisho wa Reli wakiwa kwenye kaburi la Msanii mwenzao,Marehemu Albert Mangwea mapema leo asubuhi kwenye makaburi ya Kihonda,nje kidogo ya mji wa Morogoro, walipokwenda kuzuru na kumuombea dua,walipokuwa wakielekea Mkoani Kigoma.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amen-

No comments

Powered by Blogger.