Header Ads

TAARIFA: Kama una nia ya kumpokea Feza Kessy uwanja wa ndege, pata utaratibu wa kuwasili kwake hapa


Taarifa tulizopata hivi punde kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Multichoice Tanzania, Bi Barbara Kambogi ni kwamba Feza Kessy(Pichani), mshiriki wa Tanzania kwenye Big Brother The Chase atawasili kesho (Jumatano) jioni saa kumi na mbili na nusu- ndege South African Airways
Ndugu, jamaa na marafiki mnaombwa kujitokeza kwa wingi kumlaki mshiriki huyu pekee ambaye ameiwakilisha nchi katika shindano hili mpaka kufikia hatua nzuri

No comments

Powered by Blogger.