Header Ads

ROONEY AREJEA KAZINI LEO KIKOSI CHA KWANZA MAN UNITED...NA MOYES ASEMA HATAKI MJADALA, KIJANA HAUZWI

MSHAMBULIAJI Wayne Rooney amerejea mazoezini kikosi cha kwanza Manchester United kabla ya mechi ya kwanza ya mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Swansea.

Rooney aliichezea England ikishinda wa 3-2 dhidi ya Scotland Jumatano, alionekana yuko fiti na tayari kufanya kazi kwenye kikosi cha David Moyes katika mechi ya kwanza ya ushindani.
 
Mshambuliaji huyo bado anahusishwa na mpango wa kuondoka Old Trafford, huku wapinzani wa United katika Ligi Kuu, Chelsea wakiwa mstari wa mbele kutaka kumsajili.

Thumbs up: Wanye Rooney arrived at Manchester United's training session on Friday morning
Amerudi: Wanye Rooney akiwasili mazoezini Manchester United leo asubuhi
Behind the wheel: Wayne Rooney arrived at Manchester United training on Friday morning
Nyuma ya kioo: Mustakabali wa Rooney bado haueleweki, akihusishwa kutimkia Chelsea
Amehusishwa kwenye kikosi cha David Moyes kuelekea mchezo huo, lakini Rafael na Javier Hernandez wote majeruhi wa nyama za paja na mawinga waili, Nani na Ashley Young wanatarajiwa kuwa nje. 
Wilfried Zaha anajiandaa kucheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu, wakati Michael Carrick anatarajiwa kupona maumivu ya jichos aliyoyapata akiichezea England mechi ya kirafiki.
Rooney amekuwa nje ya kikosi cha United wakati wa kujiandaa na msimu kutokana na maumivu ya bega, na baada ya kumuona akiichezea nchi yake, Moyes amemjumuisha mchezaji huyo kwenye kikosi cha mabingwa hao wa Ligi Kuu, huku akisistiza hauzwi.
"Hakuna maendeleo zaidi na hatutaki chochote, kwa sababu tumekwsihamuambia kila mtu hauzwi," alisema Moyes.
"Nitahitaji kuona, yukoje atakaporejea. Nitajaribu na kumfautilia. Nimeona mchezo usiku wa juzi, nafikiri kwa dakika 65 alizocheza alifanya vizuri, anazunguka na anaonekana yuko fiti.'
In action...finally: Wayne Rooney played his first match of pre-season in England's win over Scotland
Hatimaye kazini...: Wayne Rooney alicheza mechi yake ya kwanza wakati wa kujiandaa na msimu, England ikishinda dhidi ya Scotland
On the mic: United boss David Moyes is insistent that Rooney is not for sale
Kwenye kipaza: Kocha wa United, David Moyes anasistiza Rooney hauzwi

No comments

Powered by Blogger.