Header Ads

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA BARRICK GOLD

8E9U4168 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais na mtendaji mkuu  wa African Barrick Gold Bwana Greg Hawkins na kufanya naye mazungumzo. 8E9U4180 
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais na mtendaji Mkuu wa African Barrick Gold Bwana Greg Hawkins(wapili kushoto) ikulu jijini Dar es Salaam leo.kushoto ni Afrisa mwandamizi wa African Barrick Gold Bwana Deo Mwanyika

(picha na Freddy Maro).

No comments

Powered by Blogger.