Header Ads

RAIS DKT. SHEIN APOKEA ZAWADI KUTOKA KWA MZEE OTMAR FRANCOS

IMG_3123 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipokea zawadi ya Kinyago cha Twiga kutoka kwa Msanii maarufu Mzee Otmar Francos Mpanda kutoka Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi,pia akiwa Mzee wa CCM Wilaya hiyo,hafla hiyo ilifanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments

Powered by Blogger.