Header Ads

PICHA TANO: Jinsi safari ya Tanzania ilivyoisha ndani ya Big Brother The Chase jana

 Hawa mdio washiriki waliokuwa na feza Kikaangoni Cleo na Dillish wakiwa kama hawaamini kama walichokisikia...
 Feza hapa akiwa anatoka kwenye jumba
Dizaini alikuwa kama hajaumia hivi kutoka, kama ilivyo kwa mashabiki wake ambao wameonekana kusikitishwa na kutoka kwake
 Hapa akiwa anajibu maswali ya IK ambayo wakati mwingine Ik mwenyewe yalikuwa kama yanam'burudisha hivi

No comments

Powered by Blogger.