Header Ads

NAIBU WAZIRI WA UJENZI MHANDISI GERSON LWENGE ATEMBELEA KIVUKO CHA KIGAMBONI LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

1- masel magesa akitoa taarifa (kulia) NW Lwenge 
Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge(kushoto) akisikiliza taarifa  kutoka kwa   Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya  TAMESA ,Masel Magesa (kulia) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea leo Kivuko cha Kigamboni kuangalia kuona mfumo mpya wa ukatishati tiketi. Kivuko hicho kinasafirisha zaidi ya watu 50 elfu kwa siku.(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
2- mweka hazina Juliet(sho) akitoa maelezo- NW, Masel na  Irega(kulia) 
Mweka Hazina wa Kivuko cha Kigamboni Juliet Julius(kushoto) akimuonyesha Naibu Waziri wa Ujenzi ,Mhandisi Gerson Lwenge(mwenye suti) jinsi ya mfumo mpya wa ukatishaji wa tiketi katika Kivuko hicho leo jijini Dar es Salaam. Mfumo huo umeboresha ukataji wa tiketi naumesaidia kupunguza msongamano pamoja na kuongezeka kwa makusanyo kuliko awali .Pichani (alievaa gauni la kitenge) ni Mtendaji Mkuu waMamlaka ya TAMESA , Masel Magesa, (kulia) Mkuu wa Kivuko cha Kigamboni Charles Irege.(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.)
3- Mkuu wa kivukoalienyanyua mkono juu akimpa maelezo NW(suti)  Masel Magesa (kitenge) 
Mkuu wa Kivuko cha Kigamboni Charles Irege(alienyanyua  mkono) akimpa maelezo Naibu Waziri wa Ujenzi Eng, Gerson Lwenge (mwenye suti) eneo wanalopitia wananchi baada ya kupata tiketi zao  na kuelekea kupanda kivuko cha Kigamboni leo.Pichani mwenye kitenge ni  Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya TAMESA , Masel Magesa.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)
4- Mkuu wa Kivuko (kulia) Charles akitoa maelezo ya mfumo mpya wa ukatishaji wa tiket kwa elektroniki 
Mkuu wa Kivuko cha Kigamboni  Charles Irege (mbele aliesimama kulia) akionyesha mfumo mzima mpya wa ukatishaji wa tiketi leo kwa Mh, Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge (kulia) pamoja na  baadhi ya waandishi wa habari . Mfumo huo  umepunguza msongamano kwa wanachi wanaotumia kivuko hicho na  kufurahia huduma nzuri ziinazotolewa na serikali ya Tanzania
5-Mkuu wa Kivuko Charles Irega (kaunda suti mbele) akitoa taarifa- (kulia) NW Lwenge 6- baadhi ya wasafiri wakisubiri  kivuko baada ya kukata tiket 
Baadhi wa wananchi wakisubiri kivuko baada ya kukata tiketi zao Leo jijini Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.