Header Ads

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TBL WAFANA

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL),  ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa TBL pamoja na wanahisa baada ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (wa pili kushoto), akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na Wanahisa katika Mkutano Mkuu wa  40 wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Company Secretary wa TBL, Huruma Ntahena, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya na Mshauri wa kampuni hiyo, Phocas Lasway.
 Ofisa Sheria wa TBL, Huruma Ntahena akifafanua kuhusu gawio la hisa kwa wanahisa mwaka huu.
 Baadhi ya wanahisa wakiwa katika mkutano huo

 Mwanahisa Adrian Makelele, akichangia mada katika Mkutano Mkuu wa  40 wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam
 Mshauri wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Phocas Lasway (kushoto), akifafanua jambo kwa wanahisa katika Mkutano Mkuu wa  40 wa Mwaka wa Wanahisa, jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche.
 Mwanahisa Mchiwa Chedego kutoka Dodoma akichangia hoja
Mwanahisa  Albert Manga akichangia hoja
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL),  ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (katikati) Kulia ni Ofisa Sheria wa TBL, Huruma Ntahena.
 Mmoja wa wanahisa akiuliza swali
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL),  ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (katikati) akijadliana jambo na Mkurugenzi Mtendaji TBL, Robin Goetzsche katika Mkutano Mkuu wa  40 wa Mwaka wa Wanahisa, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo.
 Vinywaji mbalimbali vinavyotengenezwa na TBL
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL),  ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa TBL pamoja na wanahisa baada ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam

No comments

Powered by Blogger.