Header Ads

FRANCIS MIYEYUSHO AMKALISHA MZAMBIA RAUNDI YA NANE, KIDO AKALISHWA RAUNDI YA KWANZA


Bondia Fidelis Lipupa wa Zambia akiwa chini akitafakari kuendelea kusulubiwa katika pambano hilo ama la, baada ya kukalishwa na mpinzani wake Francis Miyeyusho wakati wa pambano lao la Kimataifa lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagara Dar es salaam, jana usiku. Miyeyusho alishinda kwa K,o ya raundi ya nane Picha na SUPER D


Bondia Mtanzania Francis Miyeyusho (kulia)  akipambana na Fidelis Lipupa wa Zambia wakati wa  mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika wakati wa Sikuku ya Iddi katika ukumbi wa Dar Live jana.
Mwamuzi wa pambano hilo akimhesabia Bondia Lipupa wa Zambia, baada kukalishwa na Miyeyusho, katika Raundi ya Nane.

Bondia Mtanzania Francis Miyeyusho kushoto  akipambana na Fidelis Lipupa wa Zambia.
Bondia Mtanzania Francis Miyeyusho kushoto  akipambana na Fidelis Lipupa wa Zambia.
Lipupa akijaribu kuinuka ili kuendelea na pambano lakini aaah wapi,misuli ilikataa.
Myeyusho, akishangilia ushindi na mashabiki wake, baada ya kutangazwa kidume katika pambano hilo.
Miyeyusho akiwa katika pozi.
********************************************************************

MAPAMBANO MENGINE YA UTANGULIZI,
RAMADHAN KIDO AKALISHWA RAUNDI YA KWANZA.
Bondia Kassim Rajab, akipambana na Kelvin Fabian, katika pambano lao la utangulizi. Fabian alishinda kwa Pointi.
Bondia Godfrey Pancho (kushoto) akipambana na Hamisi Mohamedi wakati wa mpambano wao uliofanyika sikukuu ya Iddi mosi katika ukumbi wa Dar Live Mbagara.
Bondia Godfrey Pancho (kulia) na Hamisi Mohamedi.
Bondia Chipaki Chipindi akiwa na mashabiki wake baada ya kumkarisha raundi ya kwanza bondia Ramadhani Kido.

No comments

Powered by Blogger.